Soka Letu - Habari za Michezo.
Install Now
Soka Letu - Habari za Michezo.
Soka Letu - Habari za Michezo.

Soka Letu - Habari za Michezo.

Pata Habari za michezo kila siku kiurahisi zaidi, Ligi kuu Tanzania ,UEFA, EPL,

Developer: MILLAN DEVS
App Size: varies with devices
Release Date: Jul 21, 2022
Price: Free
Price
Free
Size
varies with devices

Screenshots for App

Mobile
Pata Habari za michezo kila siku kiurahisi zaidi, Ligi kuu Tanzania VPL,UEFA, EPL, Matokeo ya Michezo ya soka Tanzania na Barani Ulaya, Tetesi zote za Usajili, Uhamisho, Uchambuzi wa Soka.
Habari za michezo ndani na nje ya Tanzania.
Tazama Soka Biriani Live Kila siku
Simba Sc.
Yanga Sc.
Azam Fc.

Habari za Micheo Ligi Kuu zote kubwa Duniani
Premier League
La Liga.
Ligue 1.
Serie A.
BundesLiga.

Pata Habari kwa Ufupi za Mastaa wote kama;
Messi
Ronaldo
Neymar
Mbappe
Chama
Mkude
Feisal
Sakho
Manulla
Mwamnyeto.
Tizama mpira wa ligi kuu Tanzania hapa. Pia utapata fursa ya kutizama ligi za mpira wa nje
Pata Matukio Yote ya ligi kuu ya nbc , meza, Ratiba na Matokeo

* Livescore: Maisha halisi ya Ligi Kuu ya Tanzania
* Timu za Ligi Kuu ya Tanzania: Tazama timu zenye majina na alama
*. Matokeo ya Ligi Kuu Tanzania Bara: Matokeo ya Haraka na Sahihi ya ligi ya Tanzania
*Msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara; Pata takwimu zote za hivi punde na mengi zaidi
Icon image
Soka Letu App
About this app
App ya Soka Letu inakuunganisha na habari motomoto kuhusu Ligi Kuu Tanzania na soka la ulaya kwa ujumla.

Kupitia App hii utakuwa wa kwanza kuhabarika na kuburudika na habari kedekede kuhusu mpira wa miguu,Afrika na Dunia kwa Ujumla

Bila kusahau,tazama live mahojiano na matukio ya kimichezo kupitia channeli pendwa za michezo nchini.
Show More
Show Less
More Information about: Soka Letu - Habari za Michezo.
Price: Free
Version: 1.7
Downloads: 100
Compatibility: Android 5.0
Bundle Id: com.sokaletutanzania.ligikuunbc
Size: varies with devices
Last Update: Jul 21, 2022
Content Rating: Everyone
Release Date: Jul 21, 2022
Content Rating: Everyone
Developer: MILLAN DEVS


Whatsapp
Vkontakte
Telegram
Reddit
Pinterest
Linkedin
Hide