Vitabu vilivyoangaziwa ni vifuatavyo: Chozi la Heri na Asumpta K. Matei (Riwaya) Tumbo lisiloshiba na hadithi nyingine na Alifa chokochona na Dumu Kayanda. (Hadithi Fupi) Kigogo na Pauline Kyovi ( Tamthilia) Ilani: Hili si toleo la aina ya vitabu vilivyotajwa. Ila ni mwongozo tu, wa kumsaidia mwanafunzi kudurusu hata kukielewa vitabu kile zaisi.