Huruma Ya Mungu ni ibada ya kutukuza na kuheshimu mateso na majeraha aliyoyapata Bwana wetu Yesu Kristu katika ukombozi wa wanaadamu. Ibada ya huruma ya Mungu huadhimishwa kila jumapili ya kwanza baada ya pasaka. Ibada hii ya huruma ya Mungu ni maelekezo aliyopokea Mtakatifu Sista Maria Faustina ambaye ndie mtume wa Huruma ya Mungu kwamba kila jumapili ya kwanza baada ya pasaka itakuwa jumapili ya kuadhimisha ibada ya Huruma Ya Mungu (JUMAPILI NYEUPE).
App hii ina sala zote za Huruma Ya Mungu:
=>Rozari ya Huruma Ya Mungu.
=>Litania ya Huruma Ya Mungu.
=>Sala ya Huruma Ya Mungu.
=>Novena ya Huruma Ya Mungu.
=>Sala ya kuomba neema ya kuwa na huruma kwa wengine.
=>Sala ya kujizamisha kwenye Huruma Ya Mungu.
=>Sala tatu za kuomba Huruma Ya Mungu kwa ajili ya mtu anayekaribia kufa.
=>Sala ya asubuhi.
=>Sala ya Jioni.
=>Novena ya huruma ya Mungu siku ya kwanza.
=>Novena ya huruma ya Mungu siku ya pili.
=>Novena ya huruma ya Mungu siku ya tatu.
=>Novena ya huruma ya Mungu siku ya nne.
=>Novena ya huruma ya Mungu siku ya tano.
=>Novena ya huruma ya Mungu siku ya sita.
=>Novena ya huruma ya Mungu siku ya saba.
=>Novena ya huruma ya Mungu siku ya nane.
=>Novena ya huruma ya Mungu siku ya tisa.
Pia tumeielezea historia ya Mtakatifu Faustina kwa undani zaidi. Tutaendelea kuelezea
Historia ya Huruma ya Mungu na Historia ya Mtakatifu faustina tutaendelea kuitoa zaidi kwenye matoleo (Releases/updates) zetu zinazokuja. Lengo la kuielezea Huruma ya Mungu na Historia ya Mtakatifu Faustina ili kukujenga wewe Mtumiaji wa app yetu hii uweze kufahamu mambo muhimu kuhusu chimbuko la Huruma Ya Mungu.
Historia hii itakusaidia kujijenga katika kuiabudu Huruma hii ya upendo wa Mungu kwa wanadamu hasa sisi wakosefu wanaadamu. Itatujenga na kutusogeze zaidi katika kuitukuza na kuieneza Huruma ya Mungu kwa Uhodari na Ushuja.
Tunaendelea na maboresho ya app yetu hii ili kuifanya iwe bora zaidi na izidi kubariki watu kwa kubeba sala hizi ndani ya simu zao za mkononi.
IBADA YA HURUMA YA MUNGU KWA KIINGEREZA
(THE DIVINE MERCY IN ENGLISH)
1 ACT OF CONSECRATION TO THE DIVINE MERCY
2 Pope John Paul II at the Shrine of Divine Mercy in Krakow
3 Act of Entrustment of the World to Divine Mercy
4 Prayer to The Most Holy Trinity
5 A Personal plea from Jesus to all of us
6 Become Apostles of Divine Mercy
7 APOSTLES PRAYER
8 Saint Maria Faustina of The Most Blessed Sacrament
9 2nd Sunday of Easter, Now Divine Mercy Sunday
10 Recognise My Mercy Now - While there is still time
11 Reason for the Devotion to the Divine Mercy
12 The Image of Divine Mercy
13 The Feast of The Divine Mercy
14 The Chaplet of Divine Mercy
15 The 3 o’clock prayer
16 The Chaplet
17 BLESSING FOR THE IMAGE ON THE FEAST OF MERCY
18 The Novena
19 Novena to the Divine Mercy(1209-1229)
20 PRAYER OF ST. GERTRUDE
21 PRAYERS FOR THE SOULS IN PURGATORY
22 LITANY OF THE DIVINE MERCY
23 Saint Faustina Intercessory Prayer
24 Prayers in The Divine Will - For private use
25 Prayer to Jesus
26 basic prayers
Sala za Katoliki.
Kenya, Tanzania, uganda.