Pata nyimbo za injili na tenzi za rohini mpya kwenye simu yako ina nyimbo za dini 161 kutoka kwenye kitabu cha nyimbo za dini cha Tenzi za Rohoni toleo jipya. Huna haja ya kubeba kitabu cha Tenzi za Rohoni au nyimbo za dini, unaweza kusoma na kusikiliza ala (audio) za nyimbo za injili bila kuwa na intaneti (Offline)