LipaLink - Pokea Malipo Kisasa
Install Now
LipaLink - Pokea Malipo Kisasa
LipaLink - Pokea Malipo Kisasa

LipaLink - Pokea Malipo Kisasa

Njia mpya ya kupokea malipo na kusimamia pesa za biashara yako

Developer: TemboPlus
App Size: Varies With Device
Release Date: Sep 4, 2023
Price: Free
Price
Free
Size
Varies With Device

Screenshots for App

Mobile
Lipa Link ni App ya malipo itakayokusaidia kupokea malipo kutoka mitandao yote ya kijamii.

Lipa Link pia itakupa Akaunti ya benki itakayokuwezesha kutunza pesa za biashara yako kwa usalama na itakuwezesha kusimamia makusanyo yako ya kila siku.

Ukikusanya malipo kutoka kwa wateja wako. Itawekwa moja kwa moja kwenye akaunti yako ndani ya App ya LipaLink. Hii ni akaunti ya benki kabisa na ni salama kwa pesa zako. Pesa zako ulizokusanya ndani ya App ya Lipa Link utaweza kusitoa kwa urahisi kwenda kwenye mitandao ya simu, kwenda kwa mtu mwingine, au kwenda kwenye akaunti ya benki.
Show More
Show Less
LipaLink - Pokea Malipo Kisasa 0.1.4 Update
2023-10-27 Version History
Now supports English & Swahili languages

~TemboPlus
More Information about: LipaLink - Pokea Malipo Kisasa
Price: Free
Version: 0.1.4
Downloads: 15
Compatibility: Android 5.0
Bundle Id: com.tembo.lipa_link
Size: Varies With Device
Last Update: 2023-10-27
Content Rating: Everyone
Release Date: Sep 4, 2023
Content Rating: Everyone
Developer: TemboPlus


Whatsapp
Vkontakte
Telegram
Reddit
Pinterest
Linkedin
Hide