Download App hii ili uweze kupata nyimbo za injili na tenzi za rohini mpya 2023 kwenye simu yako kwa urahisi muda wowote na mahali popote.
App hii ina nyimbo za dini 161 kutoka kwenye kitabu cha nyimbo za dini cha Tenzi za Rohoni toleo jipya. Huna haja ya kubeba kitabu cha Tenzi za Rohoni au nyimbo za dini.