The Story  Book 2
Install Now
The Story Book 2
The Story  Book 2

The Story Book 2

This Is an Official App For Story Book, Install app hii Kwa simulizi zote kali

Developer: Kilolo Inc
App Size: 9.0M
Release Date: Jun 23, 2020
Price: Free
Price
Free
Size
9.0M

Screenshots for App

Mobile
App Ya story book ni app iliyotengenezwa Kwa ajili ya Kukupa Burudani Ya simulizi za Matukio Ya kihistoria na na matukio yote yaliyotikisa dunia kwa nyakati tofauti.
wasafi walikuletea kipindi hiki kikiwa ni moja sehemu ya kukuburudisha wewe!!

THE STORY BOOK
Unaweza Kusikiliza kipindi Hiki Kupitia simu yako ya Mkononi Na Ukamtumia Na Mwenzako ili iwe Sehemu ya Kufunza na kukuza tamaduni na habari iliyobamba kipindi hicho!

MAONI: Utatoa Maoni Kupitia email yetu Iliyopo Kwenye app Yetu hii Na sehemu Ya Kutoa maoni kila Baada ya Post

UJUMBE.. Utapokea sms kila iingiapo post mpya (Notification) Ili Uwe unapata taarifa zetu kwa muda sahihi.

MUONEKANO.. Utachagua muonekano unaotaka!! kuna aina nyingi za muonekano tofauti tofauti (Themes)

VIDEO.. Hii ni app Ya watu wote haihusishi Video chafu , Haichagui lika Ya watu Wakubwa Au wadogo.. utaangalia Video zote utakazopenda,
Kama ni nyimbo za mziki wakisasa au kileo, pia mziki wa zamani tu.

Habari.. App hii ina habari za kila aina ikiwa ni kitaifa na zakimataifa.
utapokea habari mpya za kila siku kwa wakati husika!!!!

Mahusiano.. Jifunze Mbinu Mbalimbali Za kumrurahisha Mpenzi wako kwa kumpa Mapenzi Motomoto, Mfanyie Mpenzi wako Vitu Vizuri Kwa Kuifanya siku yake Kuwa ya kipekee kwa Kumtumia Ujume au Meseji Za Mapezi Matamu

NAAMINI UTAENDELEA KUIFATILIA APP YETU KWAKUWA INAKUPA KILA UNACHOSTAHILI
Show More
Show Less
More Information about: The Story Book 2
Price: Free
Version: 1.0
Downloads: 100
Compatibility: Android 5.0 and up
Bundle Id: com.theorgstorybook.app
Size: 9.0M
Last Update: Jun 23, 2020
Content Rating: Everyone
Release Date: Jun 23, 2020
Content Rating: Everyone
Developer: Kilolo Inc


Whatsapp
Vkontakte
Telegram
Reddit
Pinterest
Linkedin
Hide