Ajira Tanzania- Nafasi za kazi App ni programu inayowezesha Watanzania wenye sifa kuomba nafasi za kazi zilizo wazi kwenye Utumishi wa Umma. Watumiaji wa programu hii wataweza pia kupata taarifa muhimu kuhusu nafasi za kazi pamoja na mchakato mzima wa Ajira.
Ajira Tanzania- Nafasi za kazi app sio ni mahala sahihi pa kupata taarifa za zinazohusu AJIRA, MBINU/TIPS za kufaulu Usaili/Interview na masuala mbalimbali ya kielimu kama;
√ MATOKEO YA NECTA
√ SELECTIONS (Form One, Form Five, Vyuo na JKT)
√ PAST PAPERS (Primary to Form Six)
√ UDAHILI WA VYUO
√ UDHAMINI WA MASOMO
√ NOTES n.k
Apply to the latest Jobs in Tanzania anytime, anywhere with the Ajira Tanzania app. Whether you are this app will help you stay updated with the latest job opportunities in Tanzania market
FEATURES:
• Auto update & notifications
• Swipe left/right to navigate through articles
• Save jobs so you'll never miss out on a good opportunity
• Find full- time, part-time, contract, freelancer and internship jobs.
• Share articles via social media
Providing easiest way to find new jobs posted daily in Tanzania, this will make it easy for you to find new jobs fast.
Nafasi zote za kazi na tenda zilizotangazwa serikalini, Makampuni na mashirika binafsi, Selection za vyuo, na sekondari, Matokeo ya mitihani ya kila mwaka, kidato cha nne na Majibu ya maombi ya mkopo kutoka Bodi ya Mikopo HESLB.
Tanzania jobs from the best sources, all in one place.
- Jobs in Dar es Salaam, Mwanza, Arusha, Dodoma, Mbeya, Morogoro, Tanga, Tabora, Zanzibar City, Kigoma, Sumbawanga, Songea, Moshi, Musoma, Shinyanga, Iringa, Singida, Bukoba, Mtwara and more.
Ajira Mpya za Leo hii.
Tafuta Kazi.
Jipatie Kazi Leo.
Nafasi zote za kazi na tenda zinatoka kwenye vyanzo hivi, Kijiwe Cha Wasomi, Ajira Kazi, Ajira Yako, Mkaguzi Blog, Ajira Tanzania, TAYOA Jobs.
Inakupatia nafasi za ajira zinazotangazwa na mashirika ya umma, Sekretarieti ya Ajira, Ajira Portal &, Halmshauri etc
Ajira Tanzania - Nafasi za Kazi kila siku, nakupatia matangazo ya ajira za makampuni mbalimbali
Ajira Tanzania - Nafasi za Kazi kila siku, Inakuwezesha kupata taarifa za ajira mpya, nafasi za kazi sehemu mbalimbali Tanzania kupitia simu yako punde tu Tangazo au kazi inapowekwa mtandaoni
Ajira Tanzania - Nafasi za Kazi kila siku Ni sehemu sahii kwa anayetafuta ajira, nafasi za kazi au anahitaji kubadili ajira yake na lakini pia ni sehemu itakayopatia mambo mengi yenye faida kwako na jamii kwa ujumla
We have categorized all type of job opportunities in Tanzania including online jobs, part time jobs, NGO jobs in Tanzania and zoom jobs Tanzania.
Disclaimer:
We do not represent any Government entity and thus all posts related to the Government are referenced from their official website at https://ajira.go.tz or https://portal.ajira.go.tz .
You will also find the source link on every individual post related to either the Government or Private Organizations.
Ajira Tanzania app is not in any way affiliated with any of the job websites, companies used. The content displayed in the app comes from already public Rich Site Summary (RSS) feeds of these jobs websites which retain their copyrights.