UFUGAJI WA KUKU KITAALAMU - Kupitia App hii utapata maelekezo rahisi na sahihi ya kutatua changamoto mbalimbali za ufugaji kuku ,ikiwemo Malezi ya vifaranga baada ya kutotolewa, Njia bora za ujenzi wa banda sahihi, Magonjwa na chanjo, vyakula vya kuku na virutubisho vyake, masoko ya bidhaa zitokanazo na kuku, utotoleshaji wa mayai N.k
App hii itakuwezesha kupata ushauri bora wa kitaalamu kuhusu ufugaji wa kuku kutoka kwa mtaalamu aliyebobea na mwenye uzoefu kwenye sekta hii ya ufugaji bora wa kuku, Dr.Greyson Kahise kutoka Chuo kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA).
UFUGAJI WA KUKU KITAALAMU - Kupitia App hii utaweza kuuliza maswali kwa mtaalamu wa Kuku na utajibiwa moja kwa moja kupitia , Instagram, Twitter, Facebook, YouTube na Simu ya maongezi.
Kwa ushauri wa kitaalamu Wasiliana naye kupitia
SIMU: +255769799728.
+255715894582
Unaweza kumpata Whatsapp kwa namba hizo pia.
Email.
[email protected].
Website : www.kukubiasharatz.com
Wasambazie Ndugu, jamaa na Marafiki App hii bora ya ufugaji ili wafaidike na mafunzo na mbinu bora za ufugaji wa kuku wa ina zote kitaalamu zaidi