Watoto na Yesu
Install Now
Watoto na Yesu
Watoto na Yesu

Watoto na Yesu

App nzuri kwa watoto wakue na Yesu na kuomgezeka imani.

App Size: 7.9M
Release Date: Jun 7, 2020
Price: Free
Price
Free
Size
7.9M

Screenshots for App

Mobile
App hii itamfundisha mtoto wa Kikristo Neno la Mungu kwa furaha kwa kutumia teknolojia ya kisasa ili asiliache Neno la Mungu hata atakapokuwa mkubwa katika ulimwengu wa utandawazi na maendeleo ya sayansi na teknolojia, zipo namna nyingi za kujifunza nasi tumepata neema kufikisha mafundisho ya wototo kwa njia hii. App hii pia itampa mwalimu wa Shule ya Jumapili mwongozo wa somo, Neno la Biblia, mifano katika picha, video, michezo na nyimbo kwa urahisi na kufurahisha.

App hii imeletwa kwenu na kanisa la SUA la Jumuiya ya Kikristo Tanzania. CCT-SUA Chaplaincy

Jifunze juu ya Mungu kwa furaha katika App hii.
Show More
Show Less
More Information about: Watoto na Yesu
Price: Free
Version: 1.0
Downloads: 100
Compatibility: Android 6.0 and up
Bundle Id: com.univibezstudios.watotonayesu
Size: 7.9M
Last Update: Jun 7, 2020
Content Rating: Everyone
Release Date: Jun 7, 2020
Content Rating: Everyone
Developer: Univibez Studios Inc.


Whatsapp
Vkontakte
Telegram
Reddit
Pinterest
Linkedin
Hide