Kwa Habari za Kiswahili, zinazojiri katika mataifa yote ya Afrika na duniani kote, tembelea KTN na utazame moja kwa moja na kupata taarifa za habari za hivi punde.
Vipindi mbalimbali kama, Habari, Burudani, habari za michezo duniani kote, Matukio yote yanapatikana na kuripotiwa kupitia chaneli hii ya App inayoripoti kwa Kiswahili fasaha.
Pata Programu hii kwa matukio ya ulimwengu ikiwa ni pamoja na siasa, uchumi, michezo, kijamii, burudani na shughuli zote za taarifa.
Usikose vipindi vya moja kwa moja, tazama wakati wote masaa 24 kwa siku, wakati wote, kila mahali unapoenda.