Karibu, Kupitia app hii utajifunza mambo mengi kuhusu elimu ya Afya kwa Mjamzito na Mtoto Mchanga,vile vile unaweza kutumia app hii kuweza kujua kundi gani la Uzito wako yaani Uzito wa chini, kawaida,juu au Kiriba tumbo haijalishi wewe ni Mjamzito au si Mjamzito(Mwanaume,Kaka au Dada),pia unaweza kujua umri wa Ujauzito katika Wiki au Siku na Tarehe ya matarajio.
Usikose kufuatilia website ya mamaafya.com na YouTube channel ya Dr.Mwanyika ili kujifunza mengi kuhusu Ujauzito kwa njia ya video.
Masomo yote ya Afya yameandaliwa na Daktari Jackson Mwanyika (MD)