Wasafi TV - Mpya  Kivumbi leo
Install Now
Wasafi TV - Mpya Kivumbi leo
Wasafi TV - Mpya  Kivumbi leo

Wasafi TV - Mpya Kivumbi leo

Big Sunday Live - Wasafi TV Live Full HD Videos Tupate Live Jumapili

Developer: Rubega Developers
App Size: Varies With Device
Release Date: Jun 13, 2018
Price: Free
Price
Free
Size
Varies With Device

Screenshots for App

Mobile
Tumekusogezea

Wasafi Fans App | Tazama kila kitu cha Wasafi kupitia app hii. Tunakusogezea vitu vyote muhimu na exclusive kutoka Wasafi kuanzia Wasafi Records mpaka Wasafi Radio na TV.


Tazama shows, interviews, tours, video lyrics, life style, behind the scene na kusikiliza music pia kwenye app hii. Na tazama vipindi vya Wasafi TV kila siku.

Usipitwe na update, Kua wa kwanza kupata habari za wasanii wa WCB Wasafi kila zinapotoka.

Programu hii haiweki nyimbo za kupakua zinazokiuka haki miliki. Pakua programu hii kwa bure uweze kusikiliza miziki na kutazama video kwa kutumia internet.

Kanusho

Hii ni programu isiyo rasmi. Programu hii na maudhui yake hayakubaliki rasmi au yanayotokana na, wala kuhusishwa na au kushirikiana na wasanii wa muziki au vyombo vilivyounganishwa vya msanii, kama vile usimamizi au lebo ya rekodi. Marejeo yote na haki miliki ni mali ya wamiliki wao. Programu hii ina matangazo yanayolingana na Sera ya Google Play na Tafadhali support wasanii na makampuni husika. Asante.
Show More
Show Less
Wasafi TV - Mpya Kivumbi leo WCB-1.07.0 Update
2020-08-25 Version History
*Tazama HD & 4K Video
* Muonekano mpya wa kijanja zaidi.
* Sasa unaweza ku-rate/kuipa nyota video unayoipenda.
* Unaweza Login & Register na kuwa na Profile yako kama Fan wa WCB. Jiunge sasa ni bure.
* Unaweza weka Comment/Ujumbe kwenye video.
* Speed zaidi unafungua video kutazama.
* Marekebisho mengine madogo yamefanyika pia.

~Rubega Developers
More Information about: Wasafi TV - Mpya Kivumbi leo
Price: Free
Version: WCB-1.07.0
Downloads: 232693
Compatibility: Android 4.2
Bundle Id: com.wasafi.tv
Size: Varies With Device
Last Update: 2020-08-25
Content Rating: Everyone
Release Date: Jun 13, 2018
Content Rating: Everyone
Developer: Rubega Developers


Whatsapp
Vkontakte
Telegram
Reddit
Pinterest
Linkedin
Hide