ZamotoHabari - Habari Zote Mpya Tanzania.
Install Now
ZamotoHabari - Habari Zote Mpya Tanzania.
ZamotoHabari - Habari Zote Mpya Tanzania.

ZamotoHabari - Habari Zote Mpya Tanzania.

Soma bure habari na matukio yanayojiri ndani na nje ya Tanzania kwa urahisi.

Developer: Afrotech Studios
App Size: 8.2M
Release Date: Jun 9, 2019
Price: Free
4.3
15 Ratings
Size
8.2M

Screenshots for App

Mobile
Ungana nasi kila siku kwa habari motomoto ndani na nje ya Tanzania. Pata kurasa za mbele na nyuma za magazeti yote ya Tanzania, Habari za kijamii, Siasa, Udaku, Burudani na Mengineyo mengi.

Lengo letu ni kukuhabarisha wewe kila siku na kukupa kile ambacho kinajiri katika maisha ya kila siku ya mtanzania na wengine kwa ujumla.

Zamotohabari App hii ya kipekee inakuwezesha kusoma habari zote zilizochapishwa toka katika vyanzo vya habari vya kimataifa kama vile:-

- Bbc swahili
- Sauti ya America
- Sauti ya Ufaransa(IRF swahili)
- Sauti ya Uturuki (TRT swahili )
- Sauti ya Ujerumani (dw swahili)

Bila kusahau magazeti yote ya Tanzania kama vile:-

- Gazeti la_Mwannchi
- Mtanzania
- Rai
- Dimba
- Mwanasport
- Bingwa
- Mwanahalisi

Pamoja na blogs zote za Tanzania kama vile:-

- Udaku special
- Millard ayo
- Muungwana
- Bongo five
- Salehe jembe
- Bin zuber
- Ghafla.
Show More
Show Less
More Information about: ZamotoHabari - Habari Zote Mpya Tanzania.
Price: Free
Version: 1.1
Downloads: 1000
Compatibility: Android 4.1 and up
Bundle Id: com.zamoto.habari
Size: 8.2M
Last Update: Jun 9, 2019
Content Rating: Everyone
Release Date: Jun 9, 2019
Content Rating: Everyone
Developer: Afrotech Studios


Whatsapp
Vkontakte
Telegram
Reddit
Pinterest
Linkedin
Hide