Find an Online Store is a platform designed to ensure that when a customer needs a product he gets it from reliable suppliers and thus reduces the problem of fraud. After seeing the Challenge Get an Online Store Through CO-Founder and CEO Joshua Sanga has teamed up with Zepson Technologies to ensure a lasting and reliable solution. We would love to receive your feedback on ways to promote and make it even better
Hili ni toleo la kwanza la pata duka online app,Unaweza kujisajili, kutizama taarifa muhimu za bidhaa, Kununua bidhaa, kutazama kama anaeuza amethibitishwa na Timu ya pata duka online, tutajitahidi kadiri ya uwezo wetu kuhakikisha tunaboresha ili kufikia mahitaji ya kila mtumiaji wetu.
Maoni yako ni muhimu sana kwetu, asante na endelea kufurahia Pata Duka Online App
~smart projects team
1.0.0 1.0.0