NECTA Results
App hii imesheheni matokeo yote ya mitihani ya taifa (NECTA) ya:
>Darasa la nne
>Darasa la Saba
>Kidato cha pili
>Kidato cha nne
>Kidato cha sita
>Ualimu daraja la 3
Vilevile App hii inamwezesha mtumiaji kuweza kusoma maswali ya mitihani yote ya nyuma ya kitaifa (Past Papers) za madarsa yote ya mitihani kama vile
>Darasa la nne
>Darasa la saba
>Kidato cha pili
>Kidato cha nne na
>Kidaro cha sita
Sifa za App hii
>Ni rahisi kutumia
>Ni bure, haihitaji malipo yoyote
>Inafanya kazi haraka