Application hii ina mifumo ifuatayo
Fain - hii ni kwa ajili ya kuangalia fine ya gari yako au leseni yako
Bima tiramis - huu mfumo wa kuangalia bima yako ya gari.
Loss report - mfumo huu unakusaidia kujaza form ya loss report
Termis - hii ni kwa ajili ya kuangalia deni la parking