Jifunze Neno La Mungu - Ni app mahususi kabisa itakayo kufanya ujifunze maneno matakatifu yaliyo andikwa katika vitabu vitakatifu kama vile biblia n.k na kuhubiliwa na watumishi wa bwana.
Jifunze Neno La Mungu - pia kupitia hii app utaweza kusoma vitabu vilivyo chambuliwa katika biblia takatifu na kupostiwa na watu mbalimbali ulimwenguni kupitia blog na website zao kama vile
draywadray.blogspot.com
fur-kat.blogspot.com
cotheynelson.blogspot.com
www.maxshimbaministries.com
sw.kingdomsalvation.org
Ubarikiwe na Neno La Mungu