Angalia Video na sikiliza nyimbo bora za injili kutoka Application ya Kwaya Zetu. Kwaya na Wasanii mbalimbali ndani na nje ya nchi. Shea upendo wa Mungu. nyimbo za injili mpya kabisa za nje na ndani. Nyimbo za injili ni chakula cha roho, bwana yesu alisema, mtu haishi kwa mkate tu. Sambaza upendo wa MUNGU kwa watu wengine. nyimbo mpya 2017, 2018 na 2019.
Nyimbo za kwaya bora kabisa Tanzania kutoka kwa wasanii wa gospel kama:-
*Roman Catholic
*SDA
*Bony Mwaitege
*Goodluck Gozbert
*Christopher Mwangila
*Edson Mwasabite
*Enoch Jones
*Oliver Wema
*Emanuel Mdongo
*Pascal Kassian
*Rose Muhando
*Christina shusho
*Jenifa Mgendi
*Martha Mwaipaja
*Martha baraka
*Bahati bukuku
*Nester sanga
*Beatrice Halla
*Beatrice Mhone
*Flora Mbasha
*Nyimbo za dini za kusifu na kuabudu.
Ahsante kuchagua Kwaya Zetu kuwa App ya Kiroho.
-AMEN-