Mwana Michezo - Habari Za Michezo Tanzania
Install Now
Mwana Michezo - Habari Za Michezo Tanzania
Mwana Michezo - Habari Za Michezo Tanzania

Mwana Michezo - Habari Za Michezo Tanzania

Usipitwe na habari zote za soka la tanzania na ulaya kupitia app hii

Developer: Gulfzoom Media
App Size: 8.7M
Release Date: Oct 15, 2021
Price: Free
Price
Free
Size
8.7M

Screenshots for App

Mobile
Mwana Michezo - ni application maalumu kabisa inayotoa habari zote za soka la tanzania na nchi za nje, hivyo basi ukiwa na app hii pendwa hautopitwa na habari yoyote ya michezo hususani ligi kuuu Tanzania bara.

Mwana Michezo - ukiwa na app hii itakufanya uwe wa kwanza kufahamu mambo yanayohusu soka letu la ndani kama ifuatavyo;-
?Ligi kuu Tanzania VPL, pia na UEFA, na EPL,
?Msimamo wa VPL
?Matokeo ya Michezo ya soka Tanzania na Barani Ulaya,
?Tetesi zote za Usajili,
?Uhamisho wa wachezaji,
?Uchambuzi wa Soka,
?Mshikemshike viwanjani,
?Dondoo za michezo
? Vitasa n.k

Mwana Michezo - Ni app iliyosheni habari zote za michezo zinazotrend mitandaoni na magazeti ya kila siku yaliyoandikwa na waandishi wabobezi katika soka na wachambuzi wa mbalimbali wa soka hapa nchini.

Mwana Michezo - Ni app ya kipekee sana inayokusanya taarifa zote za michezo zinazopatika katika sehemu zifuatazo;-
✔Mwana Msimbazi
✔Mwana Jangwani
✔Soka Leo
✔Soka Letu
✔Azamu Sport Live
✔Magazeti ya michezo
✔soka kiganjani
✔Soka La Bongo
✔Kabumbu
✔Michezo Plus
✔Mwanasport n.k

Mwana Michezo - Ni app nzuri sana na rahisi kuitumia, sasa unaweza kupakua ili uweze kufurahia yote yaliyosheheni ndani yake, hakika hautojutia kuwa kuwa na application hii.

Asanteni sana???
Show More
Show Less
More Information about: Mwana Michezo - Habari Za Michezo Tanzania
Price: Free
Version: 1.1
Downloads: 500
Compatibility: Android 5.0 and up
Bundle Id: ligikuubara.habari.michezotz
Size: 8.7M
Last Update: Oct 15, 2021
Content Rating: Everyone
Release Date: Oct 15, 2021
Content Rating: Everyone
Developer: Gulfzoom Media


Whatsapp
Vkontakte
Telegram
Reddit
Pinterest
Linkedin
Hide