Mitume ndani ya Quran ni app yenye mkusanyika wa mambo mbalimbali yanayohusu manabii ambao wameelezewa vizuri kabisa katika kitabu kitukufu cha Quran, utaweza kujifunza mitume kama wafuatao;-
-Indris
-Nuhu
-Hud
-Swaleh
-Ibrahim
-Yaaqub
-Isa
-Na wengineo wengi zaidi
Manabii Ndani Ya Quran pia ni app iliyosheheni mambo mengi yanayohusu uislamu kwa ujumla kama vile FIQH, TWAHARA, SHAHADA, SWALA, IBADA YA FUNGA(SWAUMU), ZAKA NA SADAKA, MAOMBI MUHIMU KWA MAITI, IBADA YA HIJA NA UMRA, SWALA ZA SUNA NA NAMNA YA KUZISWALI, DARSA ZA QURAN, TAWHID. Na mengine mengi yasiyoorodheshwa hapa utayakuta.