SOKA LEO ni App bora ya katika utoaji wa habari za Michezo nchini Tanzania huku ikiwa na malengo ya kuleta mageuzi kwenye tasnia ya habari za kimichezo ambapo tumekujana ubunifu mkubwa katika utoaji wetu wa taarifa hii yote ni kukufanya wewe mtumiaji ufurahi pindi unapotumia app yetu.
App hii inakupa habari za kimichezo lakini pia za burudani pamoja na simulizi zitakazo kusisimua pamoja na kukufunza kwa wakati mmoja, Ipakue sasa app ya SOKA LEO na ufurahie ubunifu wa maudhui katika kukuhabarisha.
Tufuatilie katika mitandao ya kijamii.
Facebook: https://www.facebook.com/sokaleotz
Instagram: https://www.instagram.com/sokaleotz
Website: https://www.sokaleo.com