Vitambulisho vya taifa Tanzania (NIDA)
Pata Utaratibu wa kupata vitambulisho vya taifa kutoka Nida, Tanzania
Vitambulisho vya taifa na namba ya nida vyote vinapatikana kupitia utaratibu ulioelezwa kwenye app hii. App hii haitengenezi vitambulisho vya taifa au namba za vitambulisho vya Nida bali inatoa utaratibu wa jinsi ya kupata kitambulisho na namba ya NIDA kutoka Mamlaka ya vitambulisho vya taifa, Nida.
Show More
Show Less
More Information about: NIDA - Namba ya Kitambulisho cha taifa Tanzania