Karibu kupakua app ya nyimbo katoliki.
App hii inakuwezesha kupata;
Nyimbo mpya za kikatoliki kila Siku
Masomo ya misa kila siku (Sajara katoliki)
Kalenda ya kikatoliki ya mwaka mzima
Nyongeza
Nyimbo za dini ambazo si za kikatoliki(other gospels)
Kuwasiliana na marafiki waliopo katika app