Pakua nyimbo Mpya za gospel kutoka kwa wasanii mashuhuli wa nyimbo za injili wa Tanzania, Africa mashariki Africa na dunia nzima
kwenye App hii utapata nyimbo za wakatoliki, nyimbo za wasabato, nyimbo za kkkt (tumwimbie bwana) Tenzi za rohoni na nyingine nyingi.
Nyimbo Mpya za injili kwa urahisi kupitia app hii ( unaweza kupakua Audio, video, lyrics, accapela instrumental na mixtape ya gospel)