Jiunge na maelfu ya Wakristo ulimwenguni wenye uzoefu mkubwa wa Imani iliyo ya kweli katika kukuza na kuendeleza Imani yako katika Kristo kwa kutumia App hii.
App hii inakuweza/itakuwezesha kufanya yafuatayo;
1. Kujifunza namna njema ya kusali/kuomba sala/maombi yenye mafanikio katika maisha yako ikiwepo kuombea mambo mbalimbali kama vile:-
✔Ndoa/Mahusiano
✔Kazi
✔Msamaha
✔Masuala ya kifedha
✔Uponyaji
✔Nguvu za giza na mengine mengi.
2. Kujifunza visa mbalimbali vya Biblia vitakavyoweza kukusaidia kukua kiroho na kiimani.
3. Kujifunza unabii na maana ya aya/mafungu mafungu katika Biblia.
4. Kujifunza mafundisho mbalimbali ndani ya Biblia kama vile:-
✔Uponyaji
✔Upendo
✔Msamaha
✔Ufufuo
✔Ndoa/Mahusiano
✔Imani nakadhalika
5. Kujifunza namna ya kufanya ibada inayokubalika mbele za Mungu.
Mbali na hayo yote App hii inakupatia/itakupatia nafasi ya kupata nyimbo zote za vitabuni (nyimba za ibada) kama vile:-
✔Nyimbo za Injili
✔Tenzi za Rohoni
✔Nyimbo za Wokovu
✔Nyimbo za Ibada
✔Mwimbieni Bwana
✔Nyimbo za Kristo
✔Nyimbo za Imani Yetu
✔Nyimbo za Wasanii Mbalimbali
VIPENGELE MUHIMU KATIKA APP HII;
1. Sala na Maombi
2. Ibada Kila Siku
3. Visa vya Biblia
4. Gunduzi Muhimu
5. Unabii
6. Nyimbo za Ibada
7. Mafundisho ya Biblia
NOTE: App hii ni mahususi na maalum kwa Wakristo wote ulimwenguni. Pakua App hii na ujifunze ukuu wa Mungu katika maisha yako ya kila siku.