Nyimbo Za Sifa ni app inayojumuisha mkusanyiko wa nyimbo 185 kutoka katika kitabu cha Nyimbo Za Sifa kwa lugha ya Kiswahili.
App hii imeandaliwa kukuwezesha kumwamudu Mungu kwa njia ya uimbaji mahali popote na muda wowote.
Sifa za program ni kama zifuatazo:-
• Inakuwezesha kukuza ukubwa wa maandishi wa maneno ya wimbo kadri unavyoona
inafaa.
• Inakuwezesha kushiriki maneno ya wimbo na ndugu jamaa na marafiki kwa urahisi.