Katika Tanzania G portals tumekusanya tovuti mbalimbali za Serikali zikiwemo za wizara ili kukurahisishia wewe mtumiaji kupata taarifa za Serikali kwa wakati na wepesi bila kutumia muda kutafuta katika viperuzi au kukalili kila tovuti ya serikali.
Miongoni mwa tovuti zinazopatikana katika TGP ni zile za maombi kama Salary slip,Academic Trascript nk.
baadhi ya tovuti ni;
. Serikali kuu
. Tamisemi
.Wizara ya Afya Maendeleo ya jamii jinsia,wazee na watoto
.Wizara ya Elimu
.Wizara ya Fedha
.ikulu
.Baraza la mitihani Tanzania
nk.
Tafadhali kumbuka hii sio program rasmi ya serikali, hivyo unachoperuzi ni kile ambacho kipo katika tovuti husika. Lengo letu ni kurahisisha kwa kuzifanya zipatikane kwa urahisi ndani ya App moja.