VIDEO ZA WAKUBWA
Install Now
VIDEO ZA WAKUBWA
VIDEO ZA WAKUBWA

VIDEO ZA WAKUBWA

Pakua App ya VIDEO ZA WAKUBWA kupata mafunzo ya mahusiano ya mapenzi na ndoa

Developer: Mishale Rise
App Size: 7.7M
Release Date: Nov 25, 2019
Price: Free
4.2
151 Ratings
Size
7.7M

Screenshots for App

Mobile
VIDEO ZA WAKUBWA APP ni App inayokupa mkusanyiko wa mada za mafunzo za mapenzi ,mahusiano na ndoa ili kuimarisha mahusiano yako App Hii imebeba vipengele kama UTAMU,SMS ZA MAPENZI,USHAURI WA MAPENZI NA NDOA,MBINU ZA KUTONGOZA,VIDEO na SIMULIZI
UTAMU kupitia kipengele cha utamu utapata kujifunza mbinu zote zitakazokufanya ufurahie mapenzi jinsi ya kumridhisha mpenzi wako mpaka agandane na wewe
SMS ZA MAPENZI hiki ni kipengele kinachokupa meseji tamu za mapenzi za kumtumia umpendae kumueleza jinsi gani unampenda ,kumuomba msamaha mpenzi wako na kumjulia hali umpendae
USHAURI WA MAPENZI Hiki ni kipengele ambacho utaweza kupata ushauri ju ya mahusiano kupitia mikasa ya mahusiano ya watu tutakayo kuogezea na jinsi ya kutatua changamoto za mapenzi
KUTONGOZA Kupitia kipengele hiki utajifunza mbinu za kufikisha hisia kwa yule umpendae ili uweze kuwa nae
VIDEO ZA WAKUBWA-Kipengele hiki tutakuwekea video za mafunzo ya mahusiano na ndoa ili kuhakikisha unafaidi mahusiano yako
SIMULIZI kupitia kipengele cha simulizi utapata riwaya na simulizi mbali mbali za mapenzi na maisha zitakazo kuwa zinapostiwa ili kukufunza na kukuburudisha
Show More
Show Less
More Information about: VIDEO ZA WAKUBWA
Price: Free
Version: 4.0.0
Downloads: 100000
Compatibility: Android 4.1 and up
Bundle Id: video.zawakubwa.app
Size: 7.7M
Last Update: Nov 25, 2019
Content Rating: Everyone
Release Date: Nov 25, 2019
Content Rating: Everyone
Developer: Mishale Rise


Whatsapp
Vkontakte
Telegram
Reddit
Pinterest
Linkedin
Hide