Wasafi Classic Baby (WCB) Ni app Inayojumuisha wasani wote wanaounda kundi maarufu la WCB. App hii imesheni nyimbo za Video na Nyimbo za Audio kwa wasani wote wa kundi hilo linaloongozwa na Nasibu Abdul arimaarufu kama Diamond Platnumz.
Wasani wanaounda lebo ya WCB ni
* Diamond Platnumz
* Rayvanny
* Mbosso
* Lava Lava
* Quenderlin
* Zuchu
Hivyo app hii inampa mwanya mtumiaji kusikiliza na kutazama nyimbo zote ama Audio au Video, Burudika na Wasafi WCB app..