Soka – Mwanaspoti  Live Score
Install Now
Soka – Mwanaspoti Live Score
Soka – Mwanaspoti  Live Score

Soka – Mwanaspoti Live Score

Fast Tanzanian League results

Developer: Mussa Kalokola
App Size: 37.5 MB
Release Date: Nov 13, 2020
Price: FREE
Price
FREE
Size
37.5 MB

Screenshots for App

iPhone
iPhone X
More Screenshots for iPad
iMessage
More Screenshots for iMessage
Soka by Mwananchi ni application namba moja inayokuleta karibu na taarifa zote za mechi za ligi kuu na michuano mbalimbali nchini Tanzania. Ndani ya application hii, utaweza kuzifutatilia timu zako pendwa na kuarifiwa kwa haraka yanapotoka, magoli, orodha ya wachezaji wanaoanza kwenye mechi husika, habari na usajili.
Pia, utaweza kupata takwimu za ligi na timu mbalimbali kama vile Simba SC, Yanga SC, Azam FC, Mtibwa Sugar, Kagera Sugar, Lipuli FC, KMC, Ndanda FC, Namungo FC, Mwadui FC…

Kupitia application hii utaweza kupata:
1. Matokeo mubashara
2. Ratiba za mechi zote
3. Misimamo ya Ligi mbalimbali
4. Wafungaji wanaaongoza
5. Habari

Ufuatiliaji wa mpira wa miguu haujawahi kuwa rahisi hivi Tanzania.

Lengo letu ni kuendelea na maboresho na kuongeza ubora wa application hii. Asante kwa ushauri na maoni yako.

************************************************
Soka by Mwananchi is the number one mobile application which connects you to the latest information on the premier league and other competitions in Tanzania. On the app you can follow your favourite team and receive notifications of goals, line-up, news, transfers….
More than that you will get access to the most quick and accurate football stats for all of your favourite teams like Simba SC, Yanga SC, Azam FC, Mtibwa Sugar, Kagera Sugar, Lipuli FC, KMC, Ndanda FC, Namungo FC, Mwadui FC.


Through this application you will get access to these features:
1. Live Score
2. Match Line-ups
3. Match stats
4. Fixtures for all matches
5. League standings
6. Top scorers
7. News
8. Commenting in news and matches

Following Tanzanian Football has never been easy like this!

We are committed to continuous updates and improved app experience. Thanks for your suggestions and comments!
Show More
Show Less
Soka – Mwanaspoti Live Score 1.8 Update
Mar 24, 2022 Version History
Bug fixes.

~Mussa Kalokola
More Information about: Soka – Mwanaspoti Live Score
Price: FREE
Version: 1.8
Compatibility: Requires Requires iOS 12 or later
Bundle Id: com.app.soka
Size: 37.5 MB
Genre: Sports
Release Date: Nov 13, 2020
Last Update: Mar 24, 2022
Content Rating: 4+
Developer: Mussa Kalokola
Language: English -

All Apps & Games Created by: Mussa Kalokola

Whatsapp
Vkontakte
Telegram
Reddit
Pinterest
Linkedin
Hide