Simplify VFD is a TRA-approved digital fiscal tool designed to help Tanzanian businesses issue EFD receipts, manage expenses, and stay tax compliant — all in one simple, mobile-friendly app. Whether you're a small shop owner, freelancer, or enterprise, Simplify gives you full control of your business finances with smart automation and local compliance at its core.
Key Features:
Issue TRA-compliant EFD receipts via phone or computer – no hardware needed.
AI-powered expense tracking
Upload and categorize receipts, generate auto-reports.
Multi-device support: Access from phone, tablet, or browser.
Smart reports: Z-Reports, sales summaries & tax filing support.
Multi-user & multi-branch dashboard for growing businesses.
WhatsApp invoicing for quick, easy client engagement.
Free tax education & tips inside the app.
Local support, built for Tanzania.
Simplify VFD was developed by Simplitech Ltd, a Tanzanian tech company committed to digitizing financial and tax operations for SMEs and large businesses alike.
Best For:
SMEs and startups
Retailers & wholesalers
Freelancers & consultants
E-commerce & delivery services
Multi-branch enterprises
No EFD machine. No stress. Just Simplify.
0745 507 103 / 0658 507 103
www.simplify.co.tz
Simplify VFD ni mfumo wa kidijitali uliothibitishwa na TRA, unaorahisisha utoaji wa risiti za EFD, ufuatiliaji wa matumizi, na utekelezaji wa wajibu wa kodi — yote ndani ya app moja rahisi kutumia. Iwe wewe ni mmiliki wa duka, mtoa huduma binafsi au kampuni kubwa, Simplify inakupa udhibiti wa kifedha na mchakato wa kodi kwa njia ya kidijitali.
Vipengele Muhimu:
Toa risiti za EFD zinazokubalika na TRA moja kwa moja kutoka kwenye simu au kompyuta – bila mashine.
Usimamizi wa matumizi kwa akili mnemba: Pakia risiti, weka kwenye makundi, pata ripoti kiotomatiki.
Upatikanaji kwenye vifaa mbalimbali: Simu, tablet, au kivinjari.
Ripoti za haraka: Z-Report, muhtasari wa mauzo, na msaada wa kuwasilisha kodi.
Dashibodi ya matawi na watumiaji wengi.
Risiti kupitia WhatsApp – haraka na kwa urahisi.
Vidokezo na elimu ya kodi bure ndani ya app.
Imetengenezwa mahsusi kwa mazingira ya Tanzania.
Simplify imetengenezwa na Simplitech Ltd, kampuni ya Kitanzania inayolenga kuleta mageuzi ya kidigitali kwenye usimamizi wa biashara na kodi.
Inafaa Kwa:
Biashara ndogo na za kati (SMEs)
Wauzaji wa rejareja na jumla
Watoa huduma binafsi na washauri
Huduma za e-commerce na usambazaji
Makampuni yenye matawi mengi
Hakuna vifaa. Hakuna usumbufu. Ni Simplify tu.