DUKA KIGANJANI Ni application inayokusaidia kupata na kununua bidhaa mbalimbali kwa kutumia simu yako tu. Na kuletewa bidhaa yako mpaka nyumbani kwako bure kabisa.
Unaweza kujisajili kama mteja wa kawaida (MNUNUZI) au kama MUUZAJI (Seller).
Baada ya kujisajili kama muuzaji, utaweza kuweka bidhaa zako katika application yetu, na huduma hii ni bure kabisa haina malipo yoyote yale.